Tundu Lissu ameyasema haya kwa mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa risasi


Tundu Lissu aongea, awashukuru Watanzania na wote waliomuunga mkono tangu kushambuliwa kwake. .

Pia amewashukuru Wafanyakazi wote wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma na wale wa Hospitali ya Nairobi anakoendelea na matibabu, pamoja na vyama vya kitaaluma duniani kote, na Watu wote waliomuombea na kumtembelea.

Tanzania (/ˌtænzəˈniːə/), officially the United Republic of Tanzania (Swahili: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), is a country in eastern Africa within the African Great Lakes region. It borders Kenya and Uganda to the north; Rwanda, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo to the west; Zambia, Malawi, and Mozambique to the south; and the Indian Ocean to the east. Mount Kilimanjaro, Africa's highest mountain, is in north-eastern Tanzania.

No comments

anonymous