WALICHOKIANDIKA WEMA NA AUNT KUHUSU KESI YA LULU

Muigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ akiambatana na mama yake mzazi, Lucresia Karugila wamewasili katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam mapema leo asubuhi kwa ajili ya kusikiliza kesi inayomkabili ya kusababisha kifo cha Steven Charles Kanumba bila kukusudia.wemasepetu This Too Shall Pass Baby... God is Great u know... So have Faith...!!! 💋💋💋 U are in my Prayers.... Much Love.... @elizabethmichaelofficial @elizabethmichaelofficial @elizabethmichaelofficial @elizabethmichaelofficial ...🙏🏼🙏🏼🙏🏼 .

No comments

anonymous