Idris Sultan katika maadalizi ya Filamu.


amezoeleka kuonekana katika mitando ya kijamii akipost vichekesho vyake na watu kupenda zaidi lakini kwa sasa Idris anaonekana kuingia tena location baada ya kufanya vizuri katika movie ya kiumeni, Aliwahi kusikika akisema kuwa ndoto zake ni kwenda Hollwood.

Matukio kwa Picha @idrissultan Akiwa Katika maandalizi ya filamu.... (stay tuned)Idris Sultan (born January 1993) is a Tanzanian Actor and comedian, actor and radio host who won the Big Brother Africa-Hotshots in 2014. He hosts the biggest comedy news show called SIO HABARI, he also hosts a radio show called MWB(Mji wa burudani) on ChoiceFm Tanzania.

No comments

anonymous