ZARI KUKIWASHA NAIROBI ALL WHITE PARTYMfanyabiashara mzaliwa wa Uganda mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini, Zari Hassan @zarithebosslady  kuandaa sherehe yake ya kila mwaka ya All White Party jijini Nairobi, Kenya.

Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Brooklyn City alitaja kuwa hafla yake ya hadhi ya juu itafanyika katika XS Millionaires Club na mashabiki wake wote wamealikwa kuhudhuria.


 “Ballers wote jijini Nairobi wajitayarishe kwa kuenjoy  katika klabu ya XS Millionaires jijini Nairobi Alhamisi hii Juni 9.  Nitahudhuria na Ballers wengine, njoo tupige shampeni pamoja.  Tuonane Alhamisi katika klabu ya mamilionea ya XS,” lilisema tangazo hilo kutoka kwa Zari Hassan.


#ActiveMedia #zarithebosslady #ActiveKenya 

No comments

anonymous