Harmonize asherehekea birthday ya Sarah Italia, mama mkwe ajumuika naoHarmonize msanii kutoka WCB yuko nchini Italy na mpezi wake Sarah ambaye wiki iliyopita alikuwa akisheherekea siku yake ya kuzaliwa baada ya kutimiza miaka kadhaa, Jana ndiyo sherehe za kumpongeza zilifanyika na harmonize aliungana na mama mzaa chema na Sarah ndiye aliyekuwa akipost picha kuonyesha mahaba kwa mpenzi wake Harmonize alianza kwa kushre picha ya kwanza na kuandika "birthday....in love ❤️. @harmonize_tz 😜👑🍾"
A post shared by _SARAH (@sarah__tz) on

Na picha nyingine wakiwa wamesimama kwenye Gari Harmonize akiwa na amevaa sout nyeusi nakuandika "My magic night ....with @harmonize_tz love u baby 💋 CLASS✨"
A post shared by _SARAH (@sarah__tz) on

No comments

anonymous