VIDEO | Diamond Platnumz Ft. Mbosso – Oka


Ni Mkali kutokea Bongo Flevani, Diamond Platnumz ambae time hii ametuletea hii video mpya ya wimbo wake aliyomshirikisha Mbosso uitwao Oka. Unaweza ukabonyeza play kuitazama kisha usisahau kuandikia neno lolote ili wakali hao wakipita wasome mlichowaandikia.

No comments

anonymous