Kajala atambulishwa kuwa boss mpya wa Konde Gang, Harmonize atia neno

 


Ni Rasmi Sasa Mugizaji @kajalafrida Ni C.E.O Wa #KondeGang Pamoja Na Meneja Wa Msanii @harmonize_tz , Hii Imewekwa Wazi Na Mmoja Ya Managers Wa #KONDE @choppa_tz Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram. 

 CHOPPA Kwenye IG Yake Ameandika. 

 Allow Me To Welcome In Management Team New C.E.O And Manager @kajalafrida I’m Excited To Work With You Shem #kondegang4you👽🌍 @harmonize_tz 

No comments

anonymous