Mimi Mars avutiwa na Maisha ya Dada yake na Mpenzi wake RotimiMsanii @mimi_mvrs11 Ameeleza Kuna Jambo La Kujifunza Kutoka Kwa Dada Yake Na Mpenzi Wake @vanessamdee Na @rotimi Na Hata Kutamani Mume Wake Mtarajiwa Aje Akiwa Amejifunza Kutoka Kwa Dada Yake Na Mpenzi Wake.Kupata Mwanaume Kwa Muda Mchache Na Anatamani Kufanya Vitu Vingi Na Wewe Kwa Pamoja Ni Jambo La Kushukuru, Sisi Wabongo Ukivalishwa Pete Inachukua Hata Miaka Miwili, Wao Hawajafunga Ndoa Lakini Wana Mtoto Na Wameshafanya Vitu Vingi Ni Jambo La Furaha.
Natamani Na Future Husband Wangu Natamani Tujifunze Kwao (VEE Na ROTIMI) Ili Nisiwe Na Haja Ya Kujielezea Sana Yani Na Yeye Awe Ameshajua Kinachatokiwa Kama Dada Yake Ameonesha Dunia Nzima Ni Hivi Basi Ajue Watoto Wa #MDEE Ukiwafata Uje Uwe Umenyooka Na Unajielewa


No comments

anonymous