KOCHA WA TAIFA STARS KIM POULSEN AWEKA WAZI MIPANGO YA KUWATEKETEZA ALGERIA


Kuelekea Mechi ya Taifa Stars na  Algeria kocha wa Team ya Taifa Poulsen, Ameweka wazi mipango ya kuwakabili Algeria na kuibuka na ushindi.

Poulsen amezungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kumaliza mazoezi ya Mwisho Katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam.

No comments

anonymous