Mapesa ahaidi kuja kivingine |HZB TV
Mapesa ni msanii chipukizi kutokea Tanzania, aliwahi kufanya kazi na Galatone "Tuwe Sare" ambayo ilifanya vizuri katika vituo vya radio na TV inchini, kwa sasa ameleta kazi nyingine inaitwa "Mamy" msikilize hapa akiongea na HZB TV kuzungumzia kazi yake mpya pamoja na mipango yake kimuziki.
The name "bongo flava" is a corruption of "bongo flavour", where "bongo" is the plural form of the Swahili word ubongo, meaning "brain", and is a common nickname used to refer to Dar es Salaam, the city where the genre originated. In the bongo flava, the metaphor of "brains" may additionally refer to the cunning and street smarts of the mselah
Post a Comment