Licha ya majukumu ya kuongoza Nchi, Ridhiwani Kikwete asimulia malezi waliyopata |HZB TV

Tabia njema ni matunda ya malezi bora kutoka kwa wazazi,  Maranyingi watoto huridhi tabia za wazazi kutokana na malezi, Viongozi pamoja na watu mashuhuri wamekuwa ni watu wenye majukumu mengi ya kikazi na hata unaweza kujiuliza ni wakati gani wanapata nafasi ya kukaa na familiya yake.

 Rais mstaaf  awamu ya nne, Dr Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na majukumu makubwa ya kuongoza nchi aliwezaje kulea watoto wake katika misingi bora.

 Mtoto mkubwa  wa  ambaye ni mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani kikwete anaelezea malezi waliyopata kutoka kwa baba yao.




Biography



Jakaya Mrisho Kikwete (born 7 October 1951) was the fourth President of Tanzania, in office from 2005 to 2015. Prior to his election as President, he was the Minister of Foreign Affairs from 1995 to 2005 under his predecessor, Benjamin Mkapa. He has also served as the Chairperson of the African Union in 2008–2009 and the Chairman of the Southern African Development Community Troika on Peace, Defence and Security in 2012–2013.

Between 1959 and 1963, Kikwete went to Karatu Primary School in Tanzania before continuing with middle school education at Tengeru School from 1962 to 1965.  After Tengeru, Kikwete moved to Kibaha Secondary School for his O-levels, which took place between 1966 and 1969, and then he studied at Tanga Technical Secondary School for his advanced level education. He graduated from the University of Dar es Salaam in 1975 with a degree in Agrieconomics

No comments

anonymous