Z-Anto kupenya katikati ya Alikiba na Diamond, Agusia Tiptop na ukimya wake.


Mkali kwenye Bongo Fleva aliyewahi kufanya vizuri na track ya Jini pamoja Binti kiziwi akitokea TipTop Connection Z-
Anto ameahindi kuvunja ukimya hivi karibuni na kurejea tena kwenye game .HZB TV ilizungumzanae kuhusu kilichomfanya atoweke kwenye masikio na macho ya watu kwa muda mrefu na jinsi alivyojipanga kurudi tena.

No comments

anonymous