Riyama Ally alivyomvuta mume wake Leo kwenye Movie, Tarajia kumsikia akiimba.Leo na Riyama Ally ni wanandoa wanaofanya kazi zao kwa ushirikiano,Riyama ni muigizaji anaependwa na walio wengi hasa kwenye kuvaa uhusika katika movie na Leo anafanya muziki lakini alivutwa na mkewe katika movie, Je brother ameweza kumshawishi mkewe na kumvuta kwenye muziki ...?
Jibu ni NDIYO na tayari kuna kitu wamekifanya. Kupitia HZB TV Leo anaelezea.

No comments

anonymous