Irene Uwoya ameyasema haya kusu wanao mtabiria vibaya mtoto wakeMsanii wa filamu nchini Irene Uwoya ambaye ndoa yake na mchezaji mpira Ndikumana Katauti wa Rwanda iliingia katika mgogoro mzito na kupelekea kila mtu kuishi kivyake amefunguka na kuwataka watu wasimuingilie katika malezi ya mtoto wake.

 Irene Uwoya ambaye alibahatika kupata mtoto mmoja na mume wake huyo kabla ya migogoro yao, ameonyesha kukasirishwa na maneno ya baadhi ya watu kusema kuwa anamlea mtoto wake huyo kizembe zembe huku wengine wakienda mbali na kumtabiria mambo mtoto huyo kutokana na makuzi yake, ndipo hapo Uwoya alipocharuka na kuwataka wasimuombee mambo ya ajabu mtoto wake."Wale mnaosema namlea kizembe naombeni sana mniache, namlea navyoweza mimi na mwanangu bado mdogo sana anahitaji mapenzi ya Mama.

Hakuna hata mmoja wenu amewahi kuchangia ata mia ...sipendi kuongea sababu siyo swaga zangu, mimi mpole sana ila kwa mwanangu sina masihara. Sijawahi sema kitu ila leo nimeona niseme na sitarudia tena kusema, mwenye maskio na asikie na mwenye macho aoneee! yale mambo ya laaana mnayo mtabiria mwanangu yashindwe na MUNGU awasamehe sababu hamjui mlitendalo" alisisitiza Irene Uwoya.

Irene Uwoya (Oprah) is a Tanzania film actress and director. She entered the Tanzania film industry in a movie from early 2007” along with another popular actors,. She had acted in more than 20 Bongo Movies and films. Including ‘Hazard’, ‘One Blood’, ‘Mid Night’, ‘Peace of Mind’, ‘Tanzanite’, ‘Kalunde’ na ‘The Dream’

Biography
Uwoya was born in December 18, 1988 in Dodoma, Tanzania, She started her primary school in Mlimwa School and later moved to Bunge School in Dar-es-Salaam for her Secondary School, she Later went to Greenville, in Kampala Uganda.

Irene Begin her role as Miss Tanzania Number 5, 2006/2007, and in 2008 married Footballer Cyprus Hamad in Dar-es-Salaam, She has 1 Kid

No comments

anonymous