ALIKIBA AHAMIA SIMBA
Club ya Simba imemtangaza rasmi Mwimbaji staa wa Bongofleva Alikiba kuhamia kwenye Club hiyo na kuthibitisha kuwa atakuwa Mtumbuizaji mkuu August 6 2023 siku ya Simba day itayofanyika kwenye Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es salaam.
Rasmi Staa wa Muziki wa Tanzania na Afrika, Alikiba 'King Kiba' @officialalikiba amehamia kwetu na Simba Day Agosti 6 atakuwa mtumbuizaji mkuu katika Uwanja wa Benjamin Mkapa
Post a Comment