Maua Sama - Namwachia (Official Music Video)


Maua Sama ameachia Video ya wimbo wake wa Namwachia kutoka kwenye EP yake ya Sinema. 

Video ni Nzuri na kuna baadhi ya vipande vinamuonyesha Maua akiimba kwenye Mvua kubwa. 

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Maua alipost kipande hicho na kuandika....

Mvua pekeyake, Milioni 3 na Laki 7

No comments

anonymous