MSANII DAYNA NYANGE AJICHIMBIA NIGERIA, AKAMILISHA EP YAKE #ELO

 

Msanii @daynanyange kutokea Tanzania ambaye kwa sasa Location yake inasoma Lagos,Nigeria. Amijapanga kuachia EP yake ambayo amekuwa akiifanyia kazi huko.Katika Post zake za IG Dayna ameonekana na Mastaa wa kubwa wa Muziki Kutoka Nigeria akiwemo @D'Banj @Patoranking na Jana alipost akiwa nyumbani kwa msanii Tajiri Africa @Davido. 


Swali ni Je katika EP yake hiyo ya #Elo kuna ngoma ambazo tutawasikia Mastaa hao...?  majibu yatajulikana Soon.
No comments

anonymous