PAPA DENNIS FT RAYC _ TORNADO OFFICIAL VIDEO

Mwanamuziki kutoka nchini Kenya DENNIS MWANGI aka PAPA DENNIS aliyepo chini ya record label ya  MALIZA UMASIKINI  katoa wimbo wake mpya alioufanya na mwanadada REHEMA CHALAMILA maarufu kama Ray C unaokwenda kwa jina la TORNADO ukimaanisha kimbunga cha mahaba

Wimbo huu unazungumzia mapenzi ambayo anaependwa kazidiwa na mahaba hadi anahisi mapenzi yake ya nguvu kama kimbunga

Video ya wimbo huu imetengenezwa nchini Afrika ya kusini na muongazji wa video maarufu sana anae kwenda kwa jina God Father

Mbali wimbo huu PAPA DENNIS Amesha fanya nyimbo na vinara wengi wa muziki wa Africa akiwemo
Mr Flavour (Nigeria) ,Chiddimna  (Nigeria) ,Korode bello (Nigeria) na sasa RAY – C
(Tanzania)

The song is now available in all platforms and the video is also on youtube

Youtube : https://www.youtube.com/channel/UCKPJmRtO6d0pc_Gf0DTDWsQ
Youtube : Maliza Umasikini
Instagram: @realpapadennis

Twitter :

No comments

anonymous