Muigizaji Lulu kutumikia Kifungo cha miaka miwili Jela kesi ya mauaji ya Kanumba

Mahakama kuu Dar es salaam ,imemhukumu muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael maarufu kama Lulu kifungo cha miaka 2 jela baada ya kumtia hatiani kwa kuua bila kukusudia.

Msanii Elizabeth alituhumiwa kumuua msaani marehemu Steven Kanumba mwaka 2012 ambaye inaaminika alikuwa na uhusiano ya kimapenzi naye.

No comments

anonymous