Majibu ya Shilole kuhusu kuvunja nyumba na Nuh Mziwanda


Mapenzi ya Nuh na Shilole yalikuwa wazi na walikuwa wakiongozana kila mahali pamoja yaani kama kumbikumbi, lakini hakuna marefu yasiyokuwa na mwisho, mwisho wa wawili hao ulifika tamati na Nuh akavuta mke ndani.

Sikukadhaa zilizopita walipo kutana kwenye show kanda ya ziwa walionekana kuwa pamoja na kusemekana kuwa mapenzi yao yanaendelea, HZB ilimuuliza shilole juu ya hilo na kuhusu kutaka kuvunja nyumba ya Nuh.