Rais Magufuli afurahishwa na Jitihada za RC Makonda



Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania DR. JOHN MAGUFULI Leo ametembelea Meli ya Jeshi la China na kuaga Meli hiyo ambapo amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. PAUL MAKONDA kwa kufanikisha Ujio wa Meli hiyo.

Rais MAGUFULI amesema kuwa RC MAKONDA ni Kiongozi mwenye upendo na anaethamini Wananchi wake hivyo anapaswa kuigwa na Viongozi wengine. Amesema utaratibu wa Upimaji wa Afya na Matibabu Bure ulioanzishwa na RC MAKONDA umesaidia kuokoa Maisha ya Wananchi wengi waliokuwa wakipoteza maisha kwa kushindwa kumudu garama za matibabu.

Aidha Rais MAGUFULI amempongeza RC MAKONDA kwa kampeni aliyoanzisha ya kutafuta Miguu ya Bandia kwa watu wenye uhitaji pamoja na kufanikiwa kutafuta Magodoro 1,000 kwaajili ya kuhakikisha Hakuna Mgonjwa anaelala Chini. Pia Rais MAGUFULI amesifu ubunifu wa RC MAKONDA kwenye kufufua Magari yaliyokufa na kumtiat moyo kuwa aendelee kupiga Kazi.





John Pombe Joseph Magufuli (born 29 October 1959) is the President of Tanzania, in office since 2015.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2006, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.

Running as the candidate of the ruling CCM, he won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015.

No comments

anonymous