PICHA YA TUNDU LISSU IKIONYESHA MAENDELEO YA HALI YAKE.

Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika(TLS), Tundu Antipas Lissu akiwa Hospitali Jijini Nairobi nchini Kenya.
.
Kiongozi huyo anaendelea na matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa Mkoani Dodoma tarehe 07 mwezi Septemba mwaka huu.


Tanzania (/ˌtænzəˈniːə/), officially the United Republic of Tanzania (Swahili: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), is a country in eastern Africa within the African Great Lakes region. It borders Kenya and Uganda to the north; Rwanda, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo to the west; Zambia, Malawi, and Mozambique to the south; and the Indian Ocean to the east. Mount Kilimanjaro, Africa's highest mountain, is in north-eastern Tanzania.

No comments

anonymous