Irene Uwoya kuolewa tena..?

Star wa Filamu inchi Tanzania Irene Uwoya juzi alianza kupost picha ya pete na kuandika "I can't wait..." akimaanisha anataraji kufunga ndoa, kisha akapost picha ya vazi la Harusi na kuomba ushauri wa vazi gani avae "Nikivaaje Nitapendeza sijui...naomba mchango wa mawazo"
A post shared by Actress/Mom/Queen of Bongo Mov (@ireneuwoya8) on

Irene tayari alishafunga ndoa na mchezaji mpira Ndikumana na kufanikiwa kupata mtoto mmoja na ndoa ilifungwa kanisani, swali kubwa la kujiuliza ni kweli kunakuwaga na ndoa mala mbili katika dini ya kikristu au ni movie ...? leo ameweka picha na kuandika haya  "Pre wedding with family and friends...my Friday will be super than everrr.....🥂 kuna wakati tunanyang'anywa tuvihisivyo vizuri kwetu na kuletewa bora zaidi ili tujifunze na kuthamini maradufu,asante kwa hili MUNGU... #MrsYousofEnowPierre"GOD is good.....

A post shared by Actress/Mom/Queen of Bongo Mov (@ireneuwoya8) on


Irene Uwoya (Oprah) is a Tanzania film actress and director. She entered the Tanzania film industry in a movie from early 2007” along with another popular actors,. She had acted in more than 20 Bongo Movies and films. Including ‘Hazard’, ‘One Blood’, ‘Mid Night’, ‘Peace of Mind’, ‘Tanzanite’, ‘Kalunde’ na ‘The Dream’

Biography
Uwoya was born in December 18, 1988 in Dodoma, Tanzania, She started her primary school in Mlimwa School and later moved to Bunge School in Dar-es-Salaam for her Secondary School, she Later went to Greenville, in Kampala Uganda.

Irene Begin her role as Miss Tanzania Number 5, 2006/2007, and in 2008 married Footballer Cyprus Hamad in Dar-es-Salaam, She has 1 Kid

No comments

anonymous