Pam D - Daffa video making by Msafiri

Pam D ameachia kazi yake nyingine ya kwanza kwa mwaka huu 2017, Daffa imefanya na Mesen kama kawaida na video imeshutiwa na Msafiri kutoka Kwetu studio.

HZB ilibahatika kufika katika moja ya eneo walilokuwa wakifanya video hiyo na kuchukuwa baadhi ya matukio yaliyokuwa yakiendelea. Tazama hapa.



Video is a technology. It records moving images onto some medium. The recorder may be a separate machine such as a videocassette recorder (also called a VCR) or built into something else such as a video camera.

A popular 20th century videotape format was VHS. It was used by many people to record television programmes onto cassettes. This is usually an analog format. In the 21st century digital recording is used more.

By extension, a video clip is a short movie. A music video usually stars someone who recorded an (audio) album. One purpose is to promote the album.