FID Q: Watu wanamuonea Harmo Rapa

Harmo Rapa ni kijana ambaye amepata umarufu kwa muda mfupi baada ya kufanana na harmonize wa WCB na kuwa gumzo katika mitandao ya kijamii.

Harmo Rapa anafanya muziki wa rap na ndiyo sababu ya kujiita jina hilo kutokana na aina ya muziki anaoufanya na kufanana na Haronize, katika moja ya Interview zake aliwahi kusema kuwa yeye anajiona level za kina Fid Q, jambo ambalo liliwafanya watu washangae pengine ni kwasababu anajulikana kuliko kazi zake.

Rapa nguli Tanzania Fid Q baada ya kulizwa kuhusiana na hilo alijibu hivi.....