Fid Q ampongeza Irene Uwoya kwa kula mchicha na kumuona

Baada ya Irene Uwoya kupost kupitia Page yake ya Instagram kuwa anapenda wanaume wenye wagumu kwa maana ya wasio tumia muda wao kupaka poda, kuchonga nyusi na vitu vingine,

Nabaada ya kuulizwa kuhusu wasanii ambao wanamuonekano ule ambao yeye anautaka alianza na kumtaja Fid Q, HZB TV ikapiga story na Fid Q ili kujua yeye alichukuliaje kauli hiyo na je huwa anamzia mtoto Irene..? Msikilize Fid