Madee Amkumbuka Albert Mangwea Sikukuu ya Eid...Nakutembelea Kaburi lake.

Msanii wa Bongo Fleva na kiongozi wa Kundi La Tiptop Connection Hamadi Ali Seneda maarufu kama MADEE, wakatiwa Watanzia wengi wakisherekea sikukuuu ya Eid yeye aliweza kutembelea Morogoro mahili alipo zikwa Mkali wa Hophop Mangwea..

Kisha kupiga sho mkoa huo...
Madee akiwa katika Kaburi la Marehem Albert Mangwea(Ngwea)
Share on Google Plus

About John Sambila

    Blogger Comment
    Facebook Comment