WEMA SEPETU APATA SHAVU LA KUPIGA PESA NDEFU

Mwana dada Mrembo ambaye alitwaa taji la Miss Tanzania 2006 lakini pia nyuma ya pazia ni muigizaji wa filamu "Wema Ibraham Sepetu "amepata shavu la kupiga mpunga mrefu kutoka kampuni ya nywele ya Darling Hair Tanzania.


Kwa mujibu wa meneja wake, Martin Kadinda, amesema kuwa mkataba huo utamfanya Wema awe staa mwenye thamani kubwa zaidi Tanzania ingawa amesema si kawaida yao kutaja kiasi cha fedha.
Deal hiyo itamuonesha Wema akiwa kama msemaji na sura wa Darling Hair Tanzania.

Chek picha hapa
 
 
 
 
 

Share on Google Plus

About John Sambila

    Blogger Comment
    Facebook Comment